Je, hii ni hidden camera?

Je, hii ni hidden camera?

Mimi nimeona jibu alilopewa, sina ubishi nalo na kwangu halina utata.

Utata nimeuona kwa muulizaji. Hilo ni somo, siyo kwake tu, bali na kwa wengine. Tunapouliza swali tusijifanye tunajuwa jibu. Ni ujinga.

Kuuliza si ujinga.
Unapouliza kitu na ukatoa maoni yako inamsaidia anaekujibu kujua wewe unachowaza. Kwenye kutoa jibu atakusahihisha na kukwambia hilo jibu lako uliweke pahala gani ili siku nyingine usijekuchanganya mambo tena.

Huyo muuliza swali ameshajua hiyo sio camera, kwa maana hiyo keshajua camera ikoje na ina utofauti gani na hizo sensor na kwanini iko hapo nk.

Usicomplicate mambo bibie, kama ulipitia shule basi ukienda kwa mwalimu kuuliza swali nae atauliza wewe hapa jibu ungejaza nini?? Ukitoa jibu lako nae atakupa jibu sahihi na maelezo hilo jibu lako lafaa uliweke wapi.
 
Ndio inakuwaje kwamba inapokuwa usiku taa inawaka automatically au?
Ndio ..Watu hawapo ndani nyumba haikaliwi ila taa zinajiwasha nankujizima asubuh majirani mnaishia kusema ile nyumba ina majini 😂😂😂
 
Back
Top Bottom