Je hii ni kawaida?

Je hii ni kawaida?

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Jambo hili limenishangaza . Je ni jambo la kawaida kwa mwanaume kutoa mbegu ambazo zimechanganyika na damu?. Ama kuna hitilafu katika system ya uzazi?
 
Ulikuwa unafanya masterbation nini? Kama ndio, basi we ushaanza kujiua viungo va uzazi.
 
Ulikuwa unafanya masterbation nini? Kama ndio, basi we ushaanza kujiua viungo va uzazi.

Mkuu inaelekea huna uzoefu na mambo flani. Siku hizi huwa tunazitua hata usoni kwa mwenza kwa hiyo zinaonekana.
 
Back
Top Bottom