Je, hii ni kweli kuhusu kitovu cha mtoto mchanga?

Je, hii ni kweli kuhusu kitovu cha mtoto mchanga?

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
4,251
Reaction score
2,869
kuna jambo linanitatiza sana,eti kitovu cha mtoto mchanga kikiangukia sehemu za siri za mtoto,mtoto huyo anakuwa -------(kwa mwanaume),na mgumba(kwa mwanamke?)...hizi habari nimezipata sana na mjuzi nili'tune' tbc taifa nikakutana na kipindi hicho,walikuwa wanahojiwa wazee wa chamwino dodoma wakadai ni kweli na ili mtu apone tatizo hilo (kama ni mvulana inabidi amlale mama yake mzazi),na kama ni mwanamke inabidi azini na baba yake!!nilishtuka sana,wakuu kuna ukweli wowote?na kama ndio,njia zipi zitumike kuokoa tatizo?je,inawezekana ndugu zetu wenye matatizo haya sababu ni hiyo?ama kuna sababu za kisayansi zaidi?
nawasilisha.
cc;mshana jr,nifah,likud(sijui yuko wapi),washawasha et al
 
Kwa wanaume nasikia wanakuwa kama yule wa Uganda aliyeolewa juzikati,mwanamke anakuwa kikojozi.
Hii ni kitaa zaidi,sijui kitaalam.
 
Hivi kama mwanaume hasimamishi ni lazima awe anatiwa au anaweza kuendelea na maisha yake kama kawaida, nisaidieni wadau
 
Kwa wanaume nasikia wanakuwa kama yule wa Uganda aliyeolewa juzikati,mwanamke anakuwa kikojozi.
Hii ni kitaa zaidi,sijui kitaalam.

hata ya kitaa huenda ikanifaa
 
Hivi kama mwanaume hasimamishi ni lazima awe anatiwa au anaweza kuendelea na maisha yake kama kawaida, nisaidieni wadau

Babu zetu wengi na vijana wengi wanaotumia miraa jongoo lishachoka je wanafanywa ulivyosema? Ndio jibu lako.
 
Hakuna kitu kama hicho.. Sema babu zetu walikua na busara tu, kwamba kitovu cha mtoto mchanga kiko katika hali ya hatari ya maambukizi, hvyo kumtaka mama mzazi awe makini sana kisigusane na uchafu, mkojo ,kinyesi etc.
 
Kwa wanaume nasikia wanakuwa kama yule wa Uganda aliyeolewa juzikati,mwanamke anakuwa kikojozi.
Hii ni kitaa zaidi,sijui kitaalam.

Mwanamke anafiwa na kila mwanaume anayemuowa... hawezi kufa hakiwa na mumewe..
 
Zilikuwa mila za kuendeleza uzinifu tu mbona mm nimeshuhudia kimeangukia lkn mtoto anasimamisha balaa
 
Back
Top Bottom