C Chiriku Member Joined Feb 24, 2012 Posts 47 Reaction score 8 Feb 25, 2012 #1 Inasemekana kwamba kunywa majivu yaliyokorogwa kwenye maji baada ya tendo huzuia mimba kutungwa? (kwa wenye utaalam wa kibaolojia tafadhali.)
Inasemekana kwamba kunywa majivu yaliyokorogwa kwenye maji baada ya tendo huzuia mimba kutungwa? (kwa wenye utaalam wa kibaolojia tafadhali.)
mgeni10 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 1,108 Reaction score 370 Feb 25, 2012 #2 Hata kama sijui Bios, MIMBA Inatungwa wapi na hayo unayo kunywa yanaenda wapi?????????? Naona kama sarakasi za kichina
Hata kama sijui Bios, MIMBA Inatungwa wapi na hayo unayo kunywa yanaenda wapi?????????? Naona kama sarakasi za kichina
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Feb 25, 2012 #3 mmm, ulipanda bangi unataka uote mchicha
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Feb 25, 2012 #4 usije ukajiua bure
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Feb 25, 2012 #5 ..aisee..!!