Je hii ni kweli?

Je hii ni kweli?

Chiriku

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
47
Reaction score
8
Inasemekana kwamba kunywa majivu yaliyokorogwa kwenye maji baada ya tendo huzuia mimba kutungwa? (kwa wenye utaalam wa kibaolojia tafadhali.)
 
Hata kama sijui Bios, MIMBA Inatungwa wapi na hayo unayo kunywa yanaenda wapi??????????

Naona kama sarakasi za kichina
 
Back
Top Bottom