Je hii ni mbaya??

Je hii ni mbaya??

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Kupenda wanawake kupita kiasi? Siyo kufanya nao tendo la ndoa ila kuwapenda tu walivyoumbwa hasa wazuri wazuri! Kuwa nao katika viburdisho mbali mbali na kufurahia maisha kuliko wanaume wenzio? Hii ina kasoro yeyote

Nimeuliza hivi maana kuna mshikaji wangu habanduki kuwa na mademu, halafu ni yule tuko nae katika njia nyembamba iendayo uzimani ila kila nikimuona namkuta na demu huyu mara yule lakini ni nadra sana ukute yupo na kidume mwenzie
 
pengine malezi au homon za kike zimemtawala,kama amekulia kwenye mazingira ambayo toka utotoni amekuwa n agirls basi ni dhahiri atakuwa anapendelea kamapani ya madada,au sometimes ana homon nyingi za kike kuliko za kiume
 
Wala sio hormones huyo jamaa jogoo halifanyi kazi sasa nzia ya kujihami anajifanya yeye mkali wa mademu ili jamii isimtambue udhuifu wake huo hivyo TAKE IT FROM ME
 
Bwabwa hilo kaa nalo mbali kaka utapata kashfa.
 
Kibweka umeshashtuliwa kaa chonjo...Ila hiyo ya kwenye avatar yako Mbayaa??
 
Bwabwa hilo kaa nalo mbali kaka utapata kashfa.

Jamani jamaa kaoa na ana mtoto na pia anaheshika sana na wala hana kashfa ya u bwabwa hapo ndo nimeshangazwa
 
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

Kibweka umeshashtuliwa kaa chonjo...Ila hiyo ya kwenye avatar yako Mbayaa??
 
Jamani jamaa kaoa na ana mtoto na pia anaheshika sana na wala hana kashfa ya u bwabwa hapo ndo nimeshangazwa
huyo huku mtaani tunawaita mchele mwiba yaani ni bwabwa ila anasimamisha fresh tu, jaribu kumchunguza nadhani kuna tatizo hapo
 
huyo huku mtaani tunawaita mchele mwiba yaani ni bwabwa ila anasimamisha fresh tu, jaribu kumchunguza nadhani kuna tatizo hapo

Mmmmmmh hay mkubwa sasa kwa mfano ukamkuta kasimama na mkeo/Gf wako wakiteta jambo je utajisikiaje
 
Mmmmmmh hay mkubwa sasa kwa mfano ukamkuta kasimama na mkeo/Gf wako wakiteta jambo je utajisikiaje
ila huyo jamaa ana matatizo gani mpk kupenda kukaa na w/wake hivyo? na je mkewe hana wivu? na kuna agenda gani ya siri kati yake na wanawake hao jaribu kuchunguza kuna walakini sio bure

mie nikimkuta na mke wangu wala sitafanya kitu ili mradi mke wangu atoe utambulisho wa kuridhisha tu otherwise nitamtolea macho hatarudia tena
 
Kupenda wanawake kupita kiasi? Siyo kufanya nao tendo la ndoa ila kuwapenda tu walivyoumbwa hasa wazuri wazuri! Kuwa nao katika viburdisho mbali mbali na kufurahia maisha kuliko wanaume wenzio? Hii ina kasoro yeyote

Nimeuliza hivi maana kuna mshikaji wangu habanduki kuwa na mademu, halafu ni yule tuko nae katika njia nyembamba iendayo uzimani ila kila nikimuona namkuta na demu huyu mara yule lakini ni nadra sana ukute yupo na kidume mwenzie

Wanaume wa dizaini hii wapo sana mtaani!ukijaribu kuchunguza ni sawasawa na ile falsafa ya ''ng'ombe achunge mwingine na kukamua maziwa akamue mwingine''Hawa kwa ujumla hawana madhara kabisa wanapokuwa na mademu,na ndio maana wakina dada hawawaogopi na hupenda kuwa nao karibu!Mara nyingi wanatumika sana kuwatongozea wanaume wenzao mademu, na ubaya wao ni kwamba ni wazuri sana kuvujisha habari za wanaume kwa mademu!
 
Back
Top Bottom