Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Kupenda wanawake kupita kiasi? Siyo kufanya nao tendo la ndoa ila kuwapenda tu walivyoumbwa hasa wazuri wazuri! Kuwa nao katika viburdisho mbali mbali na kufurahia maisha kuliko wanaume wenzio? Hii ina kasoro yeyote
Nimeuliza hivi maana kuna mshikaji wangu habanduki kuwa na mademu, halafu ni yule tuko nae katika njia nyembamba iendayo uzimani ila kila nikimuona namkuta na demu huyu mara yule lakini ni nadra sana ukute yupo na kidume mwenzie