Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hujaelewa wapi? Huo mkutano ni wa leo Yani issue ipo kwenye kibegi designer badala kuandika viingilio kaandika viingilo 😅ndipo tukauliza hakuna mhariri? Mpaka linafika sehemu ya publicHabari hii imetangazwa na chombo gani cha habari?Azam Sports ndio wametangaza sasa tatizo ni nini?Kuna see more kwenye hiyo habari.Tueleweshe tatizo nini?
Rage hakukosea!Habari hii imetangazwa na chombo gani cha habari?Azam Sports ndio wametangaza sasa tatizo ni nini?Kuna see more kwenye hiyo habari.Tueleweshe tatizo nini?
Hatujakataa , taasisi kubwa kama hii inatakiwa kitu kikiwa kinaenda public kikaguliwe hivi utajisikiaje barua kutoka ikulu ikaandikwa " Taarifa kwa vyombe vya habali"Hiyo ni typing error kukaza misuli ya kichwa ni ujinga mtupu.Cha muhimu imeeleweka.
Huyu Mwamba atakuwa ndiye ndugu muandishi!!The problems of the most as We Tanzanians like to criticize very cheap things that can be understood even by madogo wa darasa la pili. Nani asiyeelewa kilichomaanishwa hapo? Kuna ule msemo tunasemaga SIMBA "GUVU" MOJA. Mbona hatujawahi kurecorrect kwenye kiswahili sanifu?
Let's not be biased bhana
Kiingilio kitaanzia buku tano full stop🙌
The most as we [emoji23][emoji23][emoji23]The problems of the most as We Tanzanians like to criticize very cheap things that can be understood even by madogo wa darasa la pili. Nani asiyeelewa kilichomaanishwa hapo? Kuna ule msemo tunasemaga SIMBA "GUVU" MOJA. Mbona hatujawahi kurecorrect kwenye kiswahili sanifu?
Let's not be biased bhana
Kiingilio kitaanzia buku tano full stop[emoji119]