mahadhialy
Member
- Oct 19, 2019
- 45
- 24
Habari zenu wanajf ninapenda kumshukuru mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka. Sasa nataka hii pesa niiwekeze katika sekta ya viwanda sasa naomba msaada kiwanda gani naweza kuanzisha
Halafu hii ya tech based business nimeiona mara kadhaa humu na sijajua inakuwaje hasa, unaweza kufafanua mkuu?Wataalam wa viwanda watakuja.. Mimi ningekushauri utenge kiasi hata 5-10m au zaidi, invest kwenye tech based businesses, kuzalisha digital products zinazoweza kuscale na kufikia millions of people...with just 10% of your capital.. Unaweza invest ktk tech idea yenye uwezo wa kuleta hata 100% ROI... ni swala la time, team na resources zote kuwepo.. If you're interested, I'll be humble to share some tech ideas nlizozimaanisha hapo
Dah, umenipa mwanga kidogo, thanks man!Kiufupi mkuu tech based businesses, ni zile biashara zinazotumia teknolojia.. Especially internet and other areas pia kama IT... Na kutoa huduma au kuzalisha products zenye uwezo wa kuwafikia mamilioni ya watu
Mfano facebook, instagram, uber, Netflix, amazon.. Hapa kwetu tuna kupatana, zoom tz, etc zote zinafanya leverage ya internet and technology kufikia millions
Na hapo ndipo raha yake inapokuja, if utakuwa successful ..
Ishu ni kuzitumia fursa zilizopo lakin kwa kuweka ubunifu wa technologies ili kuboresha huduma/bidhaa na kuwafikia watu wengi zaid
Pia wapo jamaa wa EAFRUITS kama sjakosea, sijui start-ups nyingi za hapa.. Maybe kina shule direct, Benji Fernandes NALA etc
Wajuz ongezen nyama
Kuna aina tatu ya viwanda ambavyo navifanyia utafiti sasa hivi-Kimoja ni Cha Kuprocess mafuta ya Mawese na Kingine ni cha kufanya assembly ya pikipiki na kingine cha kuprocess nafaka.Habari zenu wanajf ninapenda kumshukuru mungu nimefanikiwa kushika mil200 baada ya kufanya biashara ndogo ndogo kwa kila siku nilikuwa naweka 650,000 sasa nimefikia mwaka. Sasa nataka hii pesa niiwekeze katika sekta ya viwanda sasa naomba msaada kiwanda gani naweza kuanzisha