Kweli akili zako haziba akili sasa unataka tukujibuje bila kusikia iyo sauti???Kuna audio inasambaa Whatsapp muongeaji ana sauti kama ya Jerry Muro akiwa anataja watumiaji wa madawa.
Naomba mliokutana nayo hiyo ni sauti yake ama wametengeneza, wasije mchafua kijana wa watu.
Kingine marafiki konyoo msiwaamini sana, ukisikia ni kama mtu anamhojiwa na mwingine anamrekodi bila kujua.
Wewe uliesambaza, Lord anakuona.
Watajibu wenye akili!Kweli akili zako haziba akili sasa unataka tukujibuje bila kusikia iyo sauti???
Unatuuliza wakati hajaweka hyo sauti.Kuna audio inasambaa Whatsapp muongeaji ana sauti kama ya Jerry Muro akiwa anataja watumiaji wa madawa.
Naomba mliokutana nayo hiyo ni sauti yake ama wametengeneza, wasije mchafua kijana wa watu.
Kingine marafiki konyoo msiwaamini sana, ukisikia ni kama mtu anamhojiwa na mwingine anamrekodi bila kujua.
Wewe uliesambaza, Lord anakuona.
Nitumie pmKuna audio inasambaa Whatsapp muongeaji ana sauti kama ya Jerry Muro akiwa anataja watumiaji wa madawa.