Je! Hiki kikundi kinaweza kuwa association au company

alvin dismas

New Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
4
Reaction score
0
habar zenu ndugu. Sisi ni vijana wawili wenye wazo la kuanzishha kikundi cha kutoa huduma ya afya katka jamii kwa malipo ya chini na kikundi kitaweza kuajir watu wa kawaida na madaktari.pia tunahitaji kusajili kikundi hiki ila maswali tulionayo ni je hiki kikundi kinaweza kuwa association au company mbili usajili wake unaweza kufanyikia brela au wizara ya mambo ya ndani asanten kwa kupitia mawazo yangu pia naombeni sana mawazo yenu ili tufanikishe hili na kujitengenezea ajira kama vijana.
 
sajili NGO mambo ya ndani au wizara ya maendeleo na jamii, jinsia na watoto.

tayarisheni katiba, muwe kama watatu na kuendelea, andaeni CV zenu na pesa ya usajili. kama laki moja hivi yatosha. tengenezeni muundo WA shirika menu ktk utawala na utendaji. kisha anzani kuraise funds kupitia miradi - IGAs- income generating activities, na source zingine.
 

nashkuru sana japo bado nina swali kwenye upande wa katiba kuna structure ya kuifata tunapo iandika au tunaandika tu kwa kufata mpangilio tutakao jiwekea sisi.
 
alvin dismas Ushauri wangu ni kwamba usajili kama company by guarantee without share capital brela.aina hii ya company inajulikana kama lengo lake ni ktk kusaidia jamii ukitofautisha na company limited by shares ambayo iko kibiashara zaidi, gharama za aina hii ya company kulipia usajili ni ndogo( 150,000 inaweza isifike kutegemeana na idadi ya memorandum zitazowasilishwa) ukilinganisha na company limited by shares.kusajili kama association itakupa ugumu kidogo kwa sababu kwanza wanataka members waanzie kumi,halafu mnaanzia kwanza afisa maendeleo kata ,kisha itabidi mtambuliwe na ofisi za wilaya kwa DC , na complications nyingine na usajili wake ni 150,000,wakati ukisajili hii kama charitable company brela hata kwa kunitumia mimi ,nitakurahisishia. 0712742233
 
Last edited by a moderator:

Umeongeza vema mkuu. Charitable company haina mlolongo mkubwa sana, hasa wa kulazimika kuwa na members wengi.

Another thing mkuu; Nipo Mbeya kama upo Dar NIPM KWA AJILI YA KUWA UNANISAIDIA MAMBO FULANI.
 
Umeongeza vema mkuu. Charitable company haina mlolongo mkubwa sana, hasa wa kulazimika kuwa na members wengi.

Another thing mkuu; Nipo Mbeya kama upo Dar NIPM KWA AJILI YA KUWA UNANISAIDIA MAMBO FULANI.
Nipo Dar,nimejibu Pm yako,tuko pamoja ndugu.
 
What is the statutory minimum number of NGO members!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…