alvin dismas
New Member
- Dec 26, 2014
- 4
- 0
habar zenu ndugu. Sisi ni vijana wawili wenye wazo la kuanzishha kikundi cha kutoa huduma ya afya katka jamii kwa malipo ya chini na kikundi kitaweza kuajir watu wa kawaida na madaktari.pia tunahitaji kusajili kikundi hiki ila maswali tulionayo ni je hiki kikundi kinaweza kuwa association au company mbili usajili wake unaweza kufanyikia brela au wizara ya mambo ya ndani asanten kwa kupitia mawazo yangu pia naombeni sana mawazo yenu ili tufanikishe hili na kujitengenezea ajira kama vijana.