Je hiki ndo kizazi kipya cha kike?

uporoto ucmcngizie rafik yako,ni wewe mkuu.

my son,nimeelewa kabisa. lakini kwa mfano huyo chalii angeenda na bibie kumsaidia wakasaka nyumba na kufanya mipango ya kuhamia,huoni kama angejua kuna commitment ama la? ndo maana nasema mapenzi yenu yamekua so manual, na mnatanguliza hela.mnafanya mabinti waisikie kama commodities! na kwa vile hana nia nzuri na mabinti,u become so happy kama huhitai kukutana na dada yake.if he was decent angemuambia i wanna meet ur sister na wala asingefika huko kwa kudanganywa! poleni manake dating za siku hizi,bora nimeshastaafu!

kodi ya nyumba ya miezi sita,mom hebu rudia slowly utaelewa picha nzima.

na wanaume wanaongozwa na sarawili zao na kuangalia sura! u reap what u sow,that is the formulae!

Wasichana wa siku izi wanafanya maamuzi kwa kuongozwa na matumbo, facebook, tamthilia na tamaduni za wazungu.

Labda ww unatongoza mademu wa club,hapo unategemea nini?

Bad luck. Mimi wote ninaowapata wanatamani niwaoe.

Bad luck. Mimi wote ninaowapata wanatamani niwaoe.
na hao wanaotaka uwaoe wana lao jambo.mtu mumekutana nae mala2 anskuambia nioe!!.duh yaani mala tushajuana tabia?.mi staki ile ishu ya kuoa baada ya miezi mitatu mnatengana.napenda nikioa tutenganishwe na kifo.mia

maisha ya false pretence mabaya sana, na naona hii trend iko sana kwa hawa dada zetu, kwanini uishi maisha ya kudanganya watu?

Duh! Hii nayo kali....!?

Duh! Hii nayo kali....!?

kwanini wajibu hivyo?
ni kweli,wale wenye vigezo nivitakavyo ndo wanajibu hivyo.wewe umejuaje?
wewe una akili sana mkuu.mia.

Sikujibu hivo kwa nia mbaya ama sababu nina akili saana, it was my observation Fignig... Jiulize saana Mkuu ni kwanini woote wawe the same katika out-come?? Naomba uachane na kusema wewe ni Figganigga na jiangalie upya kama vile ujifahamu.... yaana kwa jicho jipya kabisa free of emotions....

Wanawake tumepishana saaana thou kutusoma ni kazi.. ila kuna vile vi ashiria vya haraka haraka vyaweza kupa picha kua huyu mwanamke una deal nae ni wa aina gani.... Thou sio siku zoote vyaweza kua sawa; Katika jamii wanawake wengi wanahangaika na mahusiano mengi kwa ajili hakuna wakaka wakuwaheshimu vya kutosha, ama sababu ya kuchezewa... Ila akibahatika akipata yule ambae ana nia nae (na hio nia akaonesha) mara nying hutulia... Sijui umetongoza wangapi (ambao umetumia kama sample size) but kama ni zaidi ya sita woote wakakujibu hivo.... Then kwa kweli tatizo sio wadada... inabidi Fignig ujiangalia nawe upya.... For ukifanya hivo ni rahisi pia kupata jibu - hivo jua nimejibu sio kwa mzaha ila basing on lot of factors ambazo nimefikiria....

Ashadii mimi kinachonitatiza ni kwanini wajibu hivyo?.yaani najiuliza hii dunia tunaenda wapi?chukulia na migogoro iliyopo kwenye ndoa sasa hivi.halafu mwanamke akiachika anakuambia siolewi tena.na wale wanaotaka kuolewa wanasukumwa sana na umri.hapo ndo napata shaka.mia

Hiyo migogoro inasabaishwa zaidi na mabadiliko ya tabiababa ndani ya familia na ndio maana mama akiachika anajionea
ooh yanini zigo kama hili tena no i will not get marry again...

sasa wewe unatongoza bar maid af unataka awe wako moja kwa moja unategemea nini sasa!

uporoto ucmcngizie rafik yako,ni wewe mkuu.
Hahaha! mkuu nina mke na watoto hiyo biashara nilishastaafu,tukija kutana labda kwenye get together utamwoma shemeji.

sasa mom kumbuka huyu jamaa ana kazi so muda wa kutafuta nae nyumba ni mdogo,kuhusu dadake huyu binti alidai ni mapema mno si alifahamu hamna cha dada na anaishi na njemba ?
Rafiki yangu alitaka akishapanga ndio waendelee na uhusiano.

Dah! Wakaka wanasema siku hizi hamna wadada wa kuoa, na wadada nao wanasema wakaka waoaji nowdays hawaapo! Mmmh......mambo mseto, yaani kila mmoja anamuona mwenzake sio mwaminifu!! Lol!

Hayo ndiyo maisha ya kimjini mjini Tamthiria nyingi sana kila demu yeye ni mjanja tu hata kama mporipori. Yaani kila demu anatamani kubinua maziwa na nguo za kukaa uchi hasa zinazobana masaburi..................... tazama kaka Mia hiki ni kizazi kile ambacho kilitajwa kizazi cha laana na uzinzi na uasherati yaaani tabu tupu.

Dah! Wakaka wanasema siku hizi hamna wadada wa kuoa, na wadada nao wanasema wakaka waoaji nowdays hawaapo! Mmmh......mambo mseto, yaani kila mmoja anamuona mwenzake sio mwaminifu!! Lol!
Wanaume kutokuaoa sio big deal, sasa kina dada wakiona miaka 36 inakaribia, ubishi unaisha matokeo yake anaolewa na yeyote ili mradi tu awe kaolewa na yeye.

Safi mi napenda hii kuliko kung,ang'aniana kama luba haifai one night stand better kuliko kwenda corner bar na kupick!!!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…