Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195

Kuna rafiki yangu kamtongoza binti akamwambia bana mi nakaa na dadangu mlokole kwa hiyo ukitaka tuwe tunakutana mchana,basi jamaa akawa anatoroka kazini siku moja moja kukutana nae au siku zingine anawahi kutoka ili wakutane,mwisho ulikuwa saa 2 usiku.

Sasa wiki iliyopita jamaa akagundua kumbe bibie haishi na dadake anaishi na mwanamme ambaye humuaga anaenda kwa rafiki kama wana ahadi na jamaa yangu.

Jamaa kumuuliza kwanza alikataa baadae akakubali akadai eti jamaa anamtesa anataka kumwacha lakini hana jinsi,ikumbukwe sio mke ni hawara tu.Rafiki yangu akatoa hela ya miezi sita akamwambia kama kweli basi ahame kwa jamaa ndio waendelee.

Toka apewe hela binti kapotea hewani na rafiki yangu hajui kwa kumpata walikuwa wanakutana tu sehemu.mia.

uporoto ucmcngizie rafik yako,ni wewe mkuu.