B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
- Thread starter
- #21
Hatari sana mkuu wamekufa wenzetu wa bara kisa huu ujingaMambo ya ajabu kabisa, watu wanabebwa kama mifugo
Hatari sana mkuu wamekufa wenzetu wa bara kisa huu ujingaMambo ya ajabu kabisa, watu wanabebwa kama mifugo
Asubuhi sana wana fukuzwa ofisini ila wanatuachia deniUchaguzi ukiwa huru CCM wanapigwa mapema kabla ya adhana ya adhuhuri. Mamaeeee.
Ww ulinyewa hujazaliwa mbwaaa weweSasa mtu amevimbiwa au amelewa kisungura ndio utuletee hayo matope? Hayo malori mbn hamyapigi picha mturushie, wakuda tu nyie wanaharamu
Na utu hawana. Huwez mbeba binadamu kama matofaliKitu ambacho sisiemu hawana ni aibu
No reform No Election
OKTOBA TUNA ✔️View attachment 3373258
Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich.
Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa
Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho.
Afu nyie mod msifute huu uzi wala kuunganusha na uzi mwingine.
NO REFORMS NO ELECTION
Unatiki kufirwa na kuibiwa rasilimali na kuoandishiwa gharama za maisha kule deni la taifa lipi 107T. Ongezeko la kodi nk. Unawazimu ukitiki unauza rasilimali zetum jutambue. Acha tukuwahi ingali mapemaOKTOBA TUNA ✔️
Above the lawView attachment 3373258
Yote haya ili kudanganya uma kuwa ana pendwa. Hatumuelewi wala hatufich.
Sheria zetu naamini pia haziruhusu kumpakiza binadamu kama bidhaa au mnyama. Hii sio sawa
Watanzania (watanganyika) wenzetu wamepoteza maisha pia kwa huu usafiri inasikitisha maskni anadanganywa akasikilize mipasho.
Afu nyie mod msifute huu uzi wala kuunganusha na uzi mwingine.
NO REFORMS NO ELECTION
Hakuna na haitoyokezea.Watu wana maupendo mpaka nyayo zao zinatetemeka.Wameenda kumsikiliza "mtukufu'Rais kwa hiyari yao.Mola awe na wasukuma.
Shida sana ulimwengu wa 3 hatujui mengiAbove the law
Kqmbarage alikua karne ya 20 sasa tupo 21 C hivo tuna uelewa angakau na taarifa zinafika kwa wakati kila angle ya nchiHaya yalianza enzi za Kambarage, kwenda kusikiliza fikra za Mwenyekiti
Inasikitisha kwa kweliHatari sana mkuu wamekufa wenzetu wa bara kisa huu ujinga
Sana mkuuInasikitisha kwa kweli