Je hili jambo lipo sawa. Na je angekua anafanya CHADEMA hivi si ingekua mapolisi washawakamata

OKTOBA TUNA ✔️
 
Above the law
 
Haya yalianza enzi za Kambarage, kwenda kusikiliza fikra za Mwenyekiti
Kqmbarage alikua karne ya 20 sasa tupo 21 C hivo tuna uelewa angakau na taarifa zinafika kwa wakati kila angle ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…