jerryperry2020
Member
- Jul 28, 2020
- 41
- 51
Salaam wakuu
Nimejaribu kutafakari Wimbi la watanzania kuingia kwenye michezo mbali mbali ya upatu pamoja na tahadhari nyingi kutolewa na hata kusikia kilio cha wengi baada ya Deci na wengine wanaofanana na hao. Jana kuna mdau kaja akijinasibu kuingia kwenye Berry.
Compounding huku akinisihi nijiunge huku ukiangalia nature yake haina utofauti na majanga yaliyotukia na akanionesha wengi waliojiunga tayari nikashangaa watu kusahau yaliyowakuta wengine nikasema kweli hii inaweza kuwa ni afya ya akili kuwa janga kubwa au basi tu ni ulimbukeni wa utajiri wa haraka haraka kutokana na hali ngumu ya maisha.ngoja tuone nao hao watakavyojipigia pesa kama walivyosadiki kazi bado ipo tutafika mbinguni ulimi upo nje.