Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana.
Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi umeme haununuliki kwa namna yoyote ile. Sijasikia Hata Waziri akitoa Tamko. Anyway mimi nina umeme wa mpaka tarehe 2 January.