Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
EeehHii ni hujuma mwezi wa kwanza kushirikiana na mandondo wanaondoa mfumo wao waliouwacha!
Hongera boss.bila Shaka wewe NI wale wanufaika.ila cc watanganyika tunajijua.maisha ytu ya kuungaunga.wanaojiita wataalam wetu WAKO wapi?.c wanatumia Kodi zetu?Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana.
Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi umeme haununuliki kwa namna yoyote ile. Sijasikia Hata Waziri akitoa Tamko. Anyway mimi nina umeme wa mpaka tarehe 2 January.
View attachment 2842607
Poleni. Ndo nchi yetu hii. Sisi CCM wengi hatuathiriki na hayo mambo. Nyie wapinzani sasa ndo mtakiona cha mtema kuni.Hongera boss.bila Shaka wewe NI wale wanufaika.ila cc watanganyika tunajijua.maisha ytu ya kuungaunga.wanaojiita wataalam wetu WAKO wapi?.c wanatumia Kodi zetu?
Kipara na tapeli mwenzie Maharage walisaini kandarasi na Wahindi wa Mahindra Tech ya bilioni 69Zinahitajika bilion 700 kutengeneza
Mfumo wa mtandao nchi nzima
Nimewaza tu [emoji1]
Ova
Upo sahihi kabisa, hapo wanataka wafokewe halafu wanaweka kitu mezaniZinahitajika bilion 700 kutengeneza
Mfumo wa mtandao nchi nzima
Nimewaza tu [emoji1]
Ova