Je, hili la wanaume lina ukweli?

Je, hili la wanaume lina ukweli?

Papa D

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
753
Reaction score
182
Wana JF;
Kuna rafiki yangu nlikuwa naye majuzi kati. yeye ni Daktari ila aliniambia haya kuhusu mahusiano kwamba:
1. Mhasibu yeyote lazima katika maisha yake siku moja atafanya mapenzi na house Girl
2. Daktari lazima atamuonja nesi
3. Mhandisi lazima katika maisha yake atamlamba Sekretari hapa pia yupo mwandishi wa habari
4. Mwanasheria na bar maid huwa hapatoshi hapa pia yupo mwanasiasa
5. Mwalimu lazima anuse kwa mwanafunzi katika maisha yake
7. Polisi/mwanajeshi hawaikosi zinaa ya Changudoa

JAMANI MAONI YA HUYO DAKTARI YANA UKWELI WOWOTE?
Je, wewe katika tasnia yako ulishawahi kuingia kwenye orodha hiyo?
 
Yana ukweli....bado naishi pengine nitaingia kwenye orodha kabla ya kufa...:washing:
 
Hapo jamaa amegeneralize coz when u came to individuality ni tofauti kabisa
 
Wana JF;
Kuna rafiki yangu nlikuwa naye majuzi kati. yeye ni Daktari ila aliniambia haya kuhusu mahusiano kwamba:
1. Mhasibu yeyote lazima katika maisha yake siku moja atafanya mapenzi na house Girl
2. Daktari lazima atamuonja nesi
3. Mhandisi lazima katika maisha yake atamlamba Sekretari hapa pia yupo mwandishi wa habari
4. Mwanasheria na bar maid huwa hapatoshi hapa pia yupo mwanasiasa
5. Mwalimu lazima anuse kwa mwanafunzi katika maisha yake
7. Polisi/mwanajeshi hawaikosi zinaa ya Changudoa

JAMANI MAONI YA HUYO DAKTARI YANA UKWELI WOWOTE?
Je, wewe katika tasnia yako ulishawahi kuingia kwenye orodha hiyo?

Kazi na ngono @ work
 
Inawezekana lakini siyo lazima sana maana mwisho wa siku ni matatizo ya mtu binafsi
 
Yaan hakuna mambo ya msingi yakujadili tena ni ngono tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Kweli aziniye na mwanamke hana akili! Ndiyo kusema akili zimeshawaisha baada ya zinaa au? God forbid!
 
daahhhh
kwa kweli naona
huyo Doctor ana PHD
ya kufuatilia maisha ya watu
na je anaweza kutibu hayo matatizo
oooppppsssss my bad naye yuko kundini mmhh
 
Hakuna ukweli wowote, hizo ni tabia za mtu binafsi!!
 
Uliyosema yana ukweli kabisa na mojawapo ilikwishawahi kunitokea.
 
mhh!!!The Boss and secretary in the red Capet
 
Wana JF;
Kuna rafiki yangu nlikuwa naye majuzi kati. yeye ni Daktari ila aliniambia haya kuhusu mahusiano kwamba:
1. Mhasibu yeyote lazima katika maisha yake siku moja atafanya mapenzi na house Girl
2. Daktari lazima atamuonja nesi
3. Mhandisi lazima katika maisha yake atamlamba Sekretari hapa pia yupo mwandishi wa habari
4. Mwanasheria na bar maid huwa hapatoshi hapa pia yupo mwanasiasa
5. Mwalimu lazima anuse kwa mwanafunzi katika maisha yake
7. Polisi/mwanajeshi hawaikosi zinaa ya Changudoa

JAMANI MAONI YA HUYO DAKTARI YANA UKWELI WOWOTE?
Je, wewe katika tasnia yako ulishawahi kuingia kwenye orodha hiyo?
hamna alipokosea
Kila mutu inakula kazini kwake bana.
 
Kuna uhusiano mkubwa sana maana nguvu yote ya kupenda inatokana na kuona. Katika hali ya kwaida unamuona sana mtu unayefanya naye kazi au kukaa naye. Hili la Bar maid ni pana sana. Bar maid huwa ni wanawake wa wababa WALEVI regardless ya profession zao. Ukiwa mpenda pombe LAZIMA utachukua bar maid. Anayebisha ajitokeze tumuone.
 
We unaeuliza umeshatembea na anaefanya kazi karibu na wewe au uliyepair nae kwenye hizo sijui assumptions za rafiki yako?Jibu lako litakupa mwongozo!
 
Mimi ni mhasibu lakn sijawahi na wala sifikirii kuna siku ntamlamba house girl,............huu ni uzushi kama uzushi mwingine wa mitaani
 
Kwahiyo hata mhasibu wa kike atatembea na housegal?
 
Tunaposema Wazaramo ni wavivu hatumaanishi wote ni wavivu bali asilimia kubwa ya wale walochunguzwa. Ni kama Wajapan waliporusha zile Toyota kiwandani ili zikafanyiwe marekebishwa, haikumaanisha Toyota zooote zilikuwa na hitilafu bali baadhi yake.

Hicho ndicho nlichomaanisha!!
 
Back
Top Bottom