Je, hili linaweza kuwa la kweli kuhusu Constantine?

Hao ni wasabato tu wasikusumbue... SDA church can't exist without Criticizing RC.
Usabatho ni kama Alikiba/Harmonize na RC ni kama Diamond. Hapo bila kumnanga Diamond lazima Harmonize apotee
"Lakini kumbuka dead Sea scrow katika original scripts "Hakukuwa na Neno ikumbuke siku ya bwana, bali kulikuwa na neno ikumbuke sabato" by knowing facts shall made as free!
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…