Je hili lnaweza nisababishia tatizo!!!?

sio ajabu

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
217
Reaction score
138
Habari wakuu




Je kondomu ikipasuka wakati wa tendo .,je inaweza kuleta matatizo mfano maambukizi!? Kama unayeshirikiana nae ana tatizo au maambukizi yanachukua zaidi ya masaa 24 !??
 
Yap nliiwahi ndani ya dakka 5 hvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…