Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umemwaga ikapasuka ni shida......Habari wakuu
Je kondomu ikipasuka wakati wa tendo .,je inaweza kuleta matatizo mfano maambukizi!? Kama unayeshirikiana nae ana tatizo au maambukizi yanachukua zaidi ya masaa 24 !??
Mkuu ivyo vitu ni probability, unaweza usipate tatzo au ukapata. Kaa baada ya miez kadhaa ukapime!Ndani ya dakka moja kabla ya in and out ndo ikapasuka nkagundua hapo hapo...