gem platnumz
Member
- Jun 7, 2021
- 12
- 10
Mwanzo nilitoe shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai huu adimu
Nije kwenye mada simba jumamosi imefungwa 3.0 na raj sio kuwa raj hawakustahili kupata ushindi mbele ya simba ila tatzo ni timu inavyocheza wachezaji wanaonekana kama wanamgawanyiko hawako pamoja pili kocha kukana kikosi chake mbele ya press confrence tatu uongozi kuwa kimya kwa yanayotokea kuhusu matokeo mabovu leo simba anacheza dhidi ya AZAM lakini huoni ile moral kama waliokuwa nayo kipindi cha nyuma tuseme ndo mwisho ya simba?