Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kaka Mshana Jr inaonekana siku moja unaweza ukaamua kufanya jambo la aibu hadharani. Hutajali wengine wanasema niniKatika maisha kikubwa ni focus.. Wewe ndio master wa maisha yako.. Usiangalie wengine watasema nini