Je hili ni anguko la Simba?

Simba sc bado ipo kwenye daraja lake na kufungwa na Raja si jambo geni katika mpira wa miguu.
 
Tangu Simba ipoteze dhidi ya Raja watu wanafungua threads kama wendawazimu,tatizo ni nini wakuu mpira wa miguu ndivyo ulivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…