Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huu upotoshaji nakutana nao Mara kwa mara , sijui kwa nini watanzania ni wavivu Wa kujisomea kiasi hiki. Yaani hata MTU msomi utakuta anaelezea watu 3/4 ya mpira ikivuka msitari ni goli. Hili jambo ukigoogle tu unapata goli linapatikanaje. JAMANI; Goli mpaka mpira wote uvuke msitari. Full stop!!Sio goli hilo, goli 3/4 ya mpira inatakiwa iwe imevuka mstari.