Je, hili ni goli au sio goli? Kama wewe ni mtaalamu wa soccer.

Sio goli hilo, goli 3/4 ya mpira inatakiwa iwe imevuka mstari.
Huu upotoshaji nakutana nao Mara kwa mara , sijui kwa nini watanzania ni wavivu Wa kujisomea kiasi hiki. Yaani hata MTU msomi utakuta anaelezea watu 3/4 ya mpira ikivuka msitari ni goli. Hili jambo ukigoogle tu unapata goli linapatikanaje. JAMANI; Goli mpaka mpira wote uvuke msitari. Full stop!!
 
Kiongozi hapo unachanganya na mpira kutoka nje... yaani mpira wa kurusha
 
Kibongo bongo ilo goli mpira unawekwa kati kwa ligi zetu za mchangani apo mpuliza kipenga ajiandae na marathon
 
Sio goli,ili liwe goli mpira mzima unatakiwa uvuke mstari,na hiyo ndio principle iliyopo katika goal-line technology

Over!!!!

Kuna swali????
 
SIO GOLI KWA 10000000000000000000000000 %....
maana mpira haujamaliza kuvuka mstari.....wa goal....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…