Je hili ni goli au siyo goli?

SIYO GOLI

GOLIKIPA AMEANZA KUTOKA KABLA PENALT AIJAPIGWA EASY INATAKIWA KURUDIWA
 
Nadhani hilo haliwezi kuwa goli, kwa sababu penalt za papo kwa papo kipa akishacheza ndio penalt inakuwa imeshaisha, nasema hivyo kwa sababu kama kufunga basi yule aliyepiga penalt angeweza kufunga "rebounce" mpira uliookolewa na kipa
REJEA SHERIA A MAGUU 12
 
HAKUNA KUDHANI NI BAO HILO
Nadhani hilo haliwezi kuwa goli, kwa sababu penalt za papo kwa papo kipa akishacheza ndio penalt inakuwa imeshaisha, nasema hivyo kwa sababu kama kufunga basi yule aliyepiga penalt angeweza kufunga "rebounce" mpira uliookolewa na kipa
 
Hilo ni Goli kabisa.

Penalti siyo ishu ya Kupangua mpira,bali ni kuzuia mpira usiingie Golini kabisa.

Kama kipa atapangua mpira na ukaenda kuingia Golini,hilo litahesabiwa kama Goli as long as mpira haujapigwa mara mbili.

Nahitimisha kwa kusema hilo ni GOLI halali
 
naunga mkono HOJA
 
HAKUNA KUDHANI NI BAO HILO

Kaka hilo sio bao kumbuka inapoonekana hizo sio penalt za ndani ya mcezo ambazo mpigaji au mchezaji yoyote anaweza kufunga au kuokoa renounce na mchezo ukaendelea, hapo inaonekana ni zile penalt tano tano, ndio maana aliyepiga penalt wala hakujisumbua kufunga mpira uliookolewa na kipa wala kulikuwa hakuna defender aliyejisumbua kuokoa mpira huo kwani ikipigwa na kipa akishaokoa na mpira kutoka eneo lake penalt inakuwa imeisha hapo

INGEKUWA NI PENALT YA NDANI YA MCHEZO INGEKUWA GOLI, LAKINI ILIKUWA NI ZOEZI LA PENALT TANO TANO HILO SIO GOLI
 
umeangalia hizo clips nyengine ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…