Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
REJEA SHERIA A MAGUU 12Nadhani hilo haliwezi kuwa goli, kwa sababu penalt za papo kwa papo kipa akishacheza ndio penalt inakuwa imeshaisha, nasema hivyo kwa sababu kama kufunga basi yule aliyepiga penalt angeweza kufunga "rebounce" mpira uliookolewa na kipa
Nadhani hilo haliwezi kuwa goli, kwa sababu penalt za papo kwa papo kipa akishacheza ndio penalt inakuwa imeshaisha, nasema hivyo kwa sababu kama kufunga basi yule aliyepiga penalt angeweza kufunga "rebounce" mpira uliookolewa na kipa
naunga mkono HOJAHilo ni Goli kabisa.
Penalti siyo ishu ya Kupangua mpira,bali ni kuzuia mpira usiingie Golini kabisa.
Kama kipa atapangua mpira na ukaenda kuingia Golini,hilo litahesabiwa kama Goli as long as mpira haujapigwa mara mbili.
Nahitimisha kwa kusema hilo ni GOLI halali
HAKUNA KUDHANI NI BAO HILO
umeangalia hizo clips nyengine ?Kaka hilo sio bao kumbuka inapoonekana hizo sio penalt za ndani ya mcezo ambazo mpigaji au mchezaji yoyote anaweza kufunga au kuokoa renounce na mchezo ukaendelea, hapo inaonekana ni zile penalt tano tano, ndio maana aliyepiga penalt wala hakujisumbua kufunga mpira uliookolewa na kipa wala kulikuwa hakuna defender aliyejisumbua kuokoa mpira huo kwani ikipigwa na kipa akishaokoa na mpira kutoka eneo lake penalt inakuwa imeisha hapo
INGEKUWA NI PENALT YA NDANI YA MCHEZO INGEKUWA GOLI, LAKINI ILIKUWA NI ZOEZI LA PENALT TANO TANO HILO SIO GOLI