samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 689
Habar wana jukwaa
Natumai humu kuna wabobez wa sheria hivyo nilitaka kujua hii ni kes gan kisheria na hukumu yake ikoje
Iko hivi kuna jamaa yangu ana mtoto wa miaka miwili na muda mwing anamuachia mfanya kaz mfanyakaz ni miaka 20 mfanyakaz ana mahusiano na kijana wa miaka 25.
Mfanyakazi anaenda guest na mtoto na huyo kijana kufanya mapenz mbele ya mtoto au kuja kwangu kufanya mapenz mbele ya mtoto mtoto anaanza kuiga yale matendo na vilio vya mapenz na kuonesha mifano.
Je, hi ni kesi ya aina gan huyo kijana akikamatwa ataweza kuhukumiwa nayona adhabu ikoje.