Je, hili ni kosa gan kisheria?

Je, hili ni kosa gan kisheria?

samakiurembo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
445
Reaction score
689
Habar wana jukwaa

Natumai humu kuna wabobez wa sheria hivyo nilitaka kujua hii ni kes gan kisheria na hukumu yake ikoje

Iko hivi kuna jamaa yangu ana mtoto wa miaka miwili na muda mwing anamuachia mfanya kaz mfanyakaz ni miaka 20 mfanyakaz ana mahusiano na kijana wa miaka 25.

Mfanyakazi anaenda guest na mtoto na huyo kijana kufanya mapenz mbele ya mtoto au kuja kwangu kufanya mapenz mbele ya mtoto mtoto anaanza kuiga yale matendo na vilio vya mapenz na kuonesha mifano.

Je, hi ni kesi ya aina gan huyo kijana akikamatwa ataweza kuhukumiwa nayona adhabu ikoje.
 
Kwasababu wote ni over 18
Wote wanahukumiwa kama wanyanyasaji wa kijinsia.

Emotional abuse kwa mtoto
 
Ila kama mtoto wako ndio shahidi aliofanyiwa fanya mpime HIV mana hawa wafanyakazi sio kabisa
 
Habar wana jukwaa

Natumai humu kuna wabobez wa sheria hivyo nilitaka kujua hii ni kes gan kisheria na hukumu yake ikoje

Iko hivi kuna jamaa yangu ana mtoto wa miaka miwili na muda mwing anamuachia mfanya kaz mfanyakaz ni miaka 20 mfanyakaz ana mahusiano na kijana wa miaka 25.

Mfanyakazi anaenda guest na mtoto na huyo kijana kufanya mapenz mbele ya mtoto au kuja kwangu kufanya mapenz mbele ya mtoto mtoto anaanza kuiga yale matendo na vilio vya mapenz na kuonesha mifano.

Je, hi ni kesi ya aina gan huyo kijana akikamatwa ataweza kuhukumiwa nayona adhabu ikoje.

Hakuna kesi hapo, suala la malezi tu hilo
 
Sasa hapa utafungua file la KESI Gani,MAANA hapo mfanyakazi ameenda kujipa Raha yake mwenyew Wala mtoto akuhusika....ushauri hapo mfukuze Huyo mfanyakazi tu ajiri mwengin Maisha yaendelee kumbuka utapotza muda mwng na Nguvu nyingi kufuatilia mienendo ya kesi huska
 
Back
Top Bottom