samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 689
Adhabu yake ikojeKwasababu wote ni over 18
Wote wanahukumiwa kama wanyanyasaji wa kijinsia.
Emotional abuse kwa mtoto
5-7 yearsAdhabu yake ikoje
Sawaa5-7 years
Bakora 25 kuingia na 25 kutoka
SawaIla kama mtoto wako ndio shahidi aliofanyiwa fanya mpime HIV mana hawa wafanyakazi sio kabisa
Habar wana jukwaa
Natumai humu kuna wabobez wa sheria hivyo nilitaka kujua hii ni kes gan kisheria na hukumu yake ikoje
Iko hivi kuna jamaa yangu ana mtoto wa miaka miwili na muda mwing anamuachia mfanya kaz mfanyakaz ni miaka 20 mfanyakaz ana mahusiano na kijana wa miaka 25.
Mfanyakazi anaenda guest na mtoto na huyo kijana kufanya mapenz mbele ya mtoto au kuja kwangu kufanya mapenz mbele ya mtoto mtoto anaanza kuiga yale matendo na vilio vya mapenz na kuonesha mifano.
Je, hi ni kesi ya aina gan huyo kijana akikamatwa ataweza kuhukumiwa nayona adhabu ikoje.
Sasa hapa utafungua file la KESI Gani,MAANA hapo mfanyakazi ameenda kujipa Raha yake mwenyew Wala mtoto akuhusika....ushauri hapo mfukuze Huyo mfanyakazi tu ajiri mwengin Maisha yaendelee kumbuka utapotza muda mwng na Nguvu nyingi kufuatilia mienendo ya kesi huskaHabar wana jukwaa