Je hili ni kweli! kuhusu chuo cha Einkernford(ETU)?.

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
wakuu habari zenu.! Chuo hiki cha Einkenford sijaelewa kuhusiana na kozi wanazotoa kuwa wanatoa diploma tu au na certificate? kwa upande maswala ya udaktari . Wanajf naombeni msaaada juu ya hili.
 
Udaktari hauna cheti wala diploma.
 
hakuna aliekukosoa udaktari ni degree tu miaka saba unaweka kalio chini

Sorry muuliza swali ameuliza kwa kiswahili nadhani udaktari ni fani ya matibabu kwa binadani, pia fani hii kwa kiswahili wale wote wanaoisomea kwa ngazi za cheti au ngazi za stashahada bado tunasema wanasomea UDAKTARI hata kama hawajafikia shahada yaani Doctor of Medicine(MD) , sidhani kama amekosea labda kama kuna kiswahili kingine...
 
acha mambo yako doctor miaka 7 mitano class 2 field hiyo degree hakuna udocta wa diploma wala sertificate achilia mbali dip ya phamacy au store keeper au nurse hizo ndio hakuna degree
 
Sorry muuliza swali ameuliza kwa kiswahili nadhani udaktari ni fani ya matibabu kwa binadani, pia fani hii kwa kiswahili wale wote wanaoisomea kwa ngazi za cheti au ngazi za stashahada bado tunasema wanasomea UDAKTARI hata kama hawajafikia shahada yaani Doctor of Medicine(MD) , sidhani kama amekosea labda kama kuna kiswahili kingine...

mkuu safi sana we ndio great thinker juu ya hili . BIG uP
 
Back
Top Bottom