Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu huwa nadhani damu isha changanyika na pombe hata asipokunywa anakuwa amelewa.
Ebu tuambie hilo kabila usilo lipenda, pamoja na vijitabia usivyo vipenda[emoji101]Nampenda mzee wetu lakini sihtaji mwanaume kabila kama la Baba,na baadhi ya tabia kama zake.
yeye kuwa Baba haimaanishi hana mapungufu na ntakayempata naamini atakuwa na mapungufu pia.
sio vizuri kutaja,..nitawaboa watu.Ebu tuambie hilo kabila usilo lipenda, pamoja na vijitabia usivyo vipenda[emoji101]
Basi sawasio vizuri kutaja,..nitawaboa watu.
Ila nilitaka niweke wazi tu kuwa Mimi kuwa karibu na mzee haina maana nitataka mwanaume mwenye sifa kama zake.
Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
ndioMmmh! Kabila tena.
Kabisa ningetamani kuwa na mume at least kama baba yangu, watoto wangu watakuwa wamepata the best father in the world[/QUOTE
Hii nayo ni fursa🙂
Bila shaka jimbo lako linahitaji mgombea😀Fursa gani tena hiyo?
Mweeh hivi kumbe nimetangaza fursa? ??[emoji15] [emoji15] [emoji15]Bila shaka jimbo lako linahitaji mgombea😀
You want her to be exactly like your mother. Kwa mpango huo hutodumu na mwanamke, coz unataka uwe na mtu kama mama yako 100%, sasa wa hivyo hayupo. Mama ako ni mmoja na hakuna atakayekuja kuwa kama yeye. Angalia tu vigezo muhimu vya kufanya mahusiano yenu yadumu. Unachokitaka kinaweza kuwa tofauti kabisa na unachokihitajiInawezekana kuwa na ukweli, kuna binti nipo naye kitabia kafanana na mama lakini rangi na kimo ni tofauti.Nahisi kama nimepungukiwa au amepungukiwa na kitu fulani.
okey... my new 'shrink', but i am missing something especially her skin colour ,You want her to be exactly like your mother. Kwa mpango huo hutodumu na mwanamke, coz unataka uwe na mtu kama mama yako 100%, sasa wa hivyo hayupo. Mama ako ni mmoja na hakuna atakayekuja kuwa kama yeye. Angalia tu vigezo muhimu vya kufanya mahusiano yenu yadumu. Unachokitaka kinaweza kuwa tofauti kabisa na unachokihitaji
Angalia ni kipi unachoweza kucompromise kati ya attributes zingine zote alizonazo na hiyo rangi yake. But be very careful kuchagua kati ya unachokitaka na unachokihitajiokey... my new 'shrink', but i am missing something especially her skin colour ,
''''''''''''''''''''''++'Mweeh hivi kumbe nimetangaza fursa? ??[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaha loya kulikoni tena?''''''''''''''''''''''++'