Je hili ni kweli?

Nampenda mzee wetu lakini sihtaji mwanaume kabila kama la Baba,na baadhi ya tabia kama zake.
yeye kuwa Baba haimaanishi hana mapungufu na ntakayempata naamini atakuwa na mapungufu pia.
 
Ebu tuambie hilo kabila usilo lipenda, pamoja na vijitabia usivyo vipenda[emoji101]
 
sio vizuri kutaja,..nitawaboa watu.
Ila nilitaka niweke wazi tu kuwa Mimi kuwa karibu na mzee haina maana nitataka mwanaume mwenye sifa kama zake.
 
Basi sawa
 
Nampenda mzee wetu lakini sihtaji mwanaume kabila kama la Baba,na baadhi ya tabia kama zake.
yeye kuwa Baba haimaanishi hana mapungufu na ntakayempata naamini atakuwa na mapungufu pia.
Mmmh! Kabila tena.
 
Inawezekana kuwa na ukweli, kuna binti nipo naye kitabia kafanana na mama lakini rangi na kimo ni tofauti.Nahisi kama nimepungukiwa au amepungukiwa na kitu fulani.
 
You want her to be exactly like your mother. Kwa mpango huo hutodumu na mwanamke, coz unataka uwe na mtu kama mama yako 100%, sasa wa hivyo hayupo. Mama ako ni mmoja na hakuna atakayekuja kuwa kama yeye. Angalia tu vigezo muhimu vya kufanya mahusiano yenu yadumu. Unachokitaka kinaweza kuwa tofauti kabisa na unachokihitaji
 
okey... my new 'shrink', but i am missing something especially her skin colour ,
 
Angalia ni kipi unachoweza kucompromise kati ya attributes zingine zote alizonazo na hiyo rangi yake. But be very careful kuchagua kati ya unachokitaka na unachokihitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…