Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ye anazitolea jasho..Ila wife wangu anapenda za kupewaYe hapendi pesa? I doubt this.
mayooooooo kinahusu nini?
Kwenda without kwenye get together..Ulikuwa unamlingishia nani?mayooooooo kinahusu nini?
hahaha hahaaaaaKwenda without kwenye get together..Ulikuwa unamlingishia nani?
Teh teh..Kazi ipi ya jasho..Kutoa copy?Hahahaaaa! Hata mm nazitolea jasho ujue! Kwani huwa unanipa tu hivi hivi!
Teh teh..Tunahudumiana banaHahahaaa! Acha basi, kukuhudumia unadhani mchezo!
TWICE???Hahaaaa! Toka siku nyingi mnooo, we ni aunty twice[emoji12]
Nakusubiri wewe tu.
Eti wanasema nina tabia zinazofanana na baba yako, atleast hata mi nakili hiloKabisa ningetamani kuwa na mume at least kama baba yangu, watoto wangu watakuwa wamepata the best father in the world
Hahaaaa!! The best mother ever existed. Karibu uwaone hakika utakubaliana nami. Heaven Sent mwenyewe hadi anatamaniTWICE???
Heaven Sent were you aware of zis?
sasa hao watoto wana usalama kweli au ustawi tutinge hapo, si kwa mama huyu
me nakula magimbi kwanza
Haha nani kakwambia? Tabia zipo hizo?Eti wanasema nina tabia zinazofanana na baba yako, atleast hata mi nakili hilo