Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ahahahahhaa haya banaa... umetishaa..🙂🙂🙂Hatuuzi wala hatutoi bure[emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahhaa haya banaa... umetishaa..🙂🙂🙂Hatuuzi wala hatutoi bure[emoji12]
Kumbe mama we msukule!!
Hatuuzi wala hatutoi bure[emoji12]
Unatamani sana sioUpo Atlanta Marekani..
Naona umeilike asubuhi alafu umeijibu jioni..Unatamani sana sio
Uwezo wa kumbadilisha mkeo huna, unless aamue mwenyewe kubadilika au ujitoe kwa maombi haswa. Kama unaona umejitahidi kumrekebisha na haelewi, chukulia tu kuwa huo ndo udhaifu wake, uubebe na sio umvumilie (ila usiwe udhaifu wa kuiweka roho yako rehani)Nitafurahi sana kama my wife tobe atakua na tabia kama za mama, kila nikijitahidi kumbadilisha naona kuna udhaifu kwake
Safi sana.Uwezo wa kumbadilisha mkeo huna, unless aamue mwenyewe kubadilika au ujitoe kwa maombi haswa. Kama unaona umejitahidi kumrekebisha na haelewi, chukulia tu kuwa huo ndo udhaifu wake, uubebe na sio umvumilie (ila usiwe udhaifu wa kuiweka roho yako rehani)
Hiyo ipo kwenye psychology katika stage ya ukuaji wa mtoto. Kila mtoto kapitia hii. Inapotea anapokua.
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Ningepata mwanaume anaefanana na baba yangu kitabia ningefurahi sana. Yaani ni mzee mwenye busara na akili sana.
Habari zenu wana JF?
Kuna usemi kuwa "wanawake hupenda kuolewa na baba zao" na "wanaume hupenda kuoa mama zao"
Dont get it wrong, ila ni kuwa binti huwa karibu sana na baba yake hivyo kupelekea kupenda kuwa na mume kama baba yake, halikadhalika kijana kuwa karibu na mama yake hupelekea atamani kuwa na mke kama mama yake (kwa sifa).
Sasa wapendwa wana JF naomba niwaulize, je kwa wanaume wewe ungetamani mke mwenye sifa za mama yako na kwa wanawake wenzangu, je ungetamani mume mwenye sifa kama za baba yako?
Niwatakie jioni njema.
Mmmh tena mate chini mkuu.Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.