Je hili ni kweli?

[emoji90] [emoji89] [emoji83] [emoji84] [emoji33] [emoji16] [emoji28]

Haha, tuko kati. Thawathawa.
Kwakweli inabidi tu iwe hivyo.
 
Reactions: kui
Nitafurahi sana kama my wife tobe atakua na tabia kama za mama, kila nikijitahidi kumbadilisha naona kuna udhaifu kwake
 
Nitafurahi sana kama my wife tobe atakua na tabia kama za mama, kila nikijitahidi kumbadilisha naona kuna udhaifu kwake
Uwezo wa kumbadilisha mkeo huna, unless aamue mwenyewe kubadilika au ujitoe kwa maombi haswa. Kama unaona umejitahidi kumrekebisha na haelewi, chukulia tu kuwa huo ndo udhaifu wake, uubebe na sio umvumilie (ila usiwe udhaifu wa kuiweka roho yako rehani)
 
Safi sana.
 
Hiyo ipo kwenye psychology katika stage ya ukuaji wa mtoto. Kila mtoto kapitia hii. Inapotea anapokua.
 
Ningepata mwanaume anaefanana na baba yangu kitabia ningefurahi sana. Yaani ni mzee mwenye busara na akili sana.
 
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
But still unahitaji mume aliye kama baba yako.
 
Mi natamani mke mwenye sisa nizipendazo mimi.
 
InaweZa kwenda na kinyume pia...km ukigundua mama /baba alikuwa hafai
 
nionavyo mimi nikwamba, ule upendo unaotoka kwa baba au kwa mama unakuwa ni upendo wenye faraja sana maishani hivyo ikiwa kama kijana au msichana akipata mume au mke mwenye upendo kama wa baba yake au mama yake basi huhisi furaha sana maishani na ndoa hudumu,

note:sio tabia za baba au mama ni upendo wa baba au mama,

mfano tu hebu kumbuka wakati ulipo ugua alafu mama yako au baba yako akakuuguza hadi kupona, kwanza unapona haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…