Mazingira na nyakati zimebadilika. Mimi ningependa kweli kupata mke mwenye sifa za mama yangu ila sio zote. Maana nikikumbuka mama yangu alikuwa most of the time tupo naye karibu na alishiriki shughuli karibu zote za nyumbani. Ila kwa zama hizi mambo yame change huwezi kumpata mwanamke a behave kama mama yako, hiyo ni ngumu. So kwa mimi ntapingana kidogo na wewe ila nakubaliana kwamba kuna mambo ningependa huyo atayekuwa mke wangu ayaige kutoka kwa mama yangu.
OEDIPUS THEORY.....!!!
Hasa hasa wadada... Mara dawa za kuongeza makalio etcakina nani? maana hii ipo kwa wanaume na wanawake!
thot hutamani kabisa kuwa na mke!!
Totoz...hizo ni hoja mbili tofauti kabisa.
Ni hivi, mpaka sasa, kwa vigezo na viwango vyangu, sidhani kama yupo anayefaa kuwa Mrs. Ngabu unless nimuumbe mwenyewe.
Yeah I know. I'm too picky for my own good.
Sasa tuseme, kinadharia tete, ingetokea akawepo huyo mwanamke wa kunifaa basi nisingependa hata kidogo afanane na mama yangu.
Au ikitokea nikaja kumuumba mwenyewe huyo future Mrs. Ngabu basi nitamuumba vile nipendavyo na si vile alivyo mama 'angu.
Sipati picha kulala na mke anayefanana na mama yangu aisee.
Sijui umenielewa?
Mmmmn atoto wewe.....kufanya ni kufanya tu haijalishi nani anafanya zaidi, hebu jibu kwann nyie mnafanya then utapata jibu la swali lako pale juu!
Then find another planet other the planet earth.Sidhani kama kuna mwanamke dunia hii mwenye sifa za kuweza kuvishwa pete na mimi, labda itokee nimemuumba mwenyewe.
Kumlinganisha mwenzi wako na mzazi wako au na ndoa ya fulani ni kosa kubwa. No matter what hawawezi kulingana kwa kila kitu, na kama ulivyosema hakuna mzazi ambaye ni Saint na Kuna vitu about them ambavyo huwezi kuvijua, ni vya ndani. And ukiendekeza kumtafuta partner "exactly" na mzazi wako possibility ya kufa single ni kubwa. But Kuna attributes ambazo mzazi wako anazo, unawish partner wako aje kuwa nazo. Kila mtu ana vigezo vya partner anayemtaka, sio ajabu mzazi wako akawa na 70% ya vigezo unavyovitaka Kwa partner wako. But cha muhimu tusijifunge kwenye vile vigezo tunavyovitaka 100%, lazima tu utacompromise alafu ya Mungu mengi. Mungu anaweza kukupa mtu mwenye package tofauti kabisa na fantasy zako na ndoa yenu ikadumu kabisaMama yangu ndio the best woman duniani lakini sijawahi kufikiria kuoa mwanamke anayefanana naye.
Ndoto yangu ilikuwa kuoa mke na kwahiyo lazima awe a unique being.
Kuna hatari kubwa ya kumlinganisha mke wako na mama yako. Hawa ni watu wawili tofauti na kila mmoja ana umuhimu wake kulingana na roles zake kwako. Kumbuka mama yako sio Saint au malaika. Mama anaoneka mzuri kwako kwasababu image anayoiproject kwa mtoto wake ni maalumu na tofauti kabisa na ile anayoionyesha kwa mume na watu wengine. Mama anaonyesha her best side kwa mtoto wake na kwa watu wengine wanapata na ile poisonous part. Siajabu mama yako has been a terrible wife kwa baba yako lakini anavumilia na kumfichia aibu.
Robo tu huwezi amini sijaona ,and im deadly seriousmmmmmh!! hata robo hakuna! you cant be serious.
Kwa mfano wewe unavyopenda pesa na kuomba kama Matonya unafikiri mtoto wako wa kiume atatamani kuwa na mke kama wewe mama yake?!! Au housegirl atatamani mume kama baba yake?.... I dont think so
π π.
Ambacho hua natamani, ni walau mwanangu(wa kike) awe na tabia kama zangu hata robo tu.