Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
- Thread starter
- #81
gocha!!
Mazingira na nyakati zimebadilika. Mimi ningependa kweli kupata mke mwenye sifa za mama yangu ila sio zote. Maana nikikumbuka mama yangu alikuwa most of the time tupo naye karibu na alishiriki shughuli karibu zote za nyumbani. Ila kwa zama hizi mambo yame change huwezi kumpata mwanamke a behave kama mama yako, hiyo ni ngumu. So kwa mimi ntapingana kidogo na wewe ila nakubaliana kwamba kuna mambo ningependa huyo atayekuwa mke wangu ayaige kutoka kwa mama yangu.