Je hili ni kweli?

Ulipo changanya na vingereza, ndio umenikoroga kabisaaa...... mswahili mie + ushamba + uzee wangu huu
 
Hebu mwambie huyo, no wonder tunatamani waume kama baba zetu, wale wa zamani ni bora kuliko wa sasa.
Hahahaaaa! Nasi tukawaumbe.
 
Reactions: kui
Anayetamani kuoa hayajamkuta ya mkuta
Sitamani mwanamke yeyote hata awe wa kushushwa na mvua
 
Huo ulevi hadi wa kumtisha binti hehe

Haha hongereni wababa wote mlio mifano bora kwa watoto na wake zenu
Mkuu....
Mimi ni mfano m-baya sana kwa huyo unae muita mke.
Agghhhh.....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
Ebu ngoja niishie hapa tafadhali
 
Ni hapo waumbe halafu watoe vituko kuliko sisi. Binadamu sio, alien sio, mdudu sio...teh!

Cc to a handsome boy Nyani Ngabu
Hahahaaaa! Mbona alien, alafu ndio wako Huyo hakuna kumkimbia.
 
Reactions: kui
Hahahaaaa! Mbona alien, alafu ndio wako Huyo hakuna kumkimbia.

Hahah!, ukimkimbia ana kukimbiza, halafu aliens wanakuwaga na maguvu kuliko binadamu...hapo chacha!
Imagine mtu anakatiza mitaa na alien yuko nyuma yake. Kwi kwi πŸ˜€
 
Hahah!, ukimkimbia ana kukimbiza, halafu aliens wanakuwaga na maguvu kuliko binadamu...hapo chacha!
Imagine mtu anakatiza mitaa na alien yuko nyuma yake. Kwi kwi πŸ˜€
Hahahaaaa! Wasije sababisha nasi tukakimbia bureeee! Maana itakuwa mtafutano, ghafla kui ataonekana malaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…