Je hili ni kweli?

Je hili ni kweli?

Mazingira na nyakati zimebadilika. Mimi ningependa kweli kupata mke mwenye sifa za mama yangu ila sio zote. Maana nikikumbuka mama yangu alikuwa most of the time tupo naye karibu na alishiriki shughuli karibu zote za nyumbani. Ila kwa zama hizi mambo yame change huwezi kumpata mwanamke a behave kama mama yako, hiyo ni ngumu. So kwa mimi ntapingana kidogo na wewe ila nakubaliana kwamba kuna mambo ningependa huyo atayekuwa mke wangu ayaige kutoka kwa mama yangu.
 
My mama is a type of a person who controls everything arround her, everything. Hata namna unavyojikuna atakuelekeza!!

Sasa nafikiri it might be okay for a mother/child relationship lakini I dont think I can handle marrying a 'control freak', nitaboreka mno

😀😀😀

Una mambo weye!
 
Napenda sana nipate mke kama mama yng she's lovable mstaarabu sana ana akili daah mzuri namkubali sana my mom" ila kimo chake kdogo sikikubali i need tall 1 niende nae sawa at list
 
Mdingi(father) anachepuka balaa na mimi kanipigia saluti manake nimeshamshinda kwa kuchepuka. Bi mother mpole hatari sasa kuowa mke mpole naona kama nitazeeka haraka sitajua kama nipo msibani au kwangu. Nataka demu awe kichaa hatari hatabiriki kama hali ya hewa ya Madagascar😉
 
aiseee!! i see me in her! teh teh teeeeh!!

My mama is a type of a person who controls everything arround her, everything. Hata namna unavyojikuna atakuelekeza!!

Sasa nafikiri it might be okay for a mother/child relationship lakini I dont think I can handle marrying a 'control freak', nitaboreka mno
 
Hahahaaaaa!! mwanangu huniambia atataka aoe mke kama mimi.
Kwa mfano wewe unavyopenda pesa na kuomba kama Matonya unafikiri mtoto wako wa kiume atatamani kuwa na mke kama wewe mama yake?!! Au housegirl atatamani mume kama baba yake?.... I dont think so
 
oa mfupi bwana mchanganye damu angalau .

Napenda sana nipate mke kama mama yng she's lovable mstaarabu sana ana akili daah mzuri namkubali sana my mom" ila kimo chake kdogo sikikubali i need tall 1 niende nae sawa at list
 
aisee hii ni fantancy or ndio real utakavyo?

Back
Top Bottom