Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Tangazo halijafafanua ni taarifa žipi hasa zipelekwe kwa mwajiri na kama hizo taarifa zinahitaji kuwekewa barua ya maombi ya kuhama au la. Na kama covering letters zinatakiwa.
Je, huo muda uliowekwa unatosha kweli kwa kuzingatia usumbufu wanaokuwa nao hao wanaotakiwa kupitisha maombi kama wakuu wa shule, DEOs, DMOs, wakurugenzi n.k? Itafika deadline huku wengi wakiwa hawajawasilisha hizo taarifa.