Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu.

Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka Utamu wakati wa Kuingiza tumia Vocha za Mtandao wao' murua wa katikati ya Morocco na Victoria.

Hata hivyo na Mimi GENTAMYCINE kama Mtoto wa Pwani nasema tena kwa Kukiri kabisa kuwa cha Asubuhi cha Tigo kama ukiwa na Wese la Vaseline ni Kitamu kweli kweli.

Kuna Mtu Tangazo hili limemfanya aambulie 'Kipigo' leo Mchana maeneo ya Ubungo na nilishindwa Kusogelea zaidi eneo la Tukio baada ya kugundua kuwa aliyetoa Kipigo ni Mwana Medani wa Lugalo ambaye Juzi alinikuta nikikojoa katika Kichaka eneo na kutaka kunikamata ila nikamuachia 'Manyoya' tu kwa kutoka zangu baru ( nduki ) na nahisi hata Sura huenda alinikariri pia.
 
kiuhalisia TCRA inatakiwa ikiona maneno yanayotumika kwenye matangazo kama hayo ambayo yanaendana hata kwa misemo ya kiswahili potofu wayazuie kuleta heshima siyo vizuri maneno kama hayo kuyabariki hivi unajisikiaje asubuhi mnajiandaa kwenda kazini upo na watoto wako sebueni linakuja tangazo kama hilo kweliiii watoto wanapata picha gani kwamba mzee anahimizwa akamkandamize mother cha asubuhi? noma sana
 
Hao TCRA wanachojua ni kufungia wasanii na nyimbo zao na magazeti yenye mtazamo tafauti.
 
Hilo tangazo naona watu wazima ndio wanawafundisha watoto wajiulize hiki cha asubuhi ni kitu gani, na wakikipata msije tena kulalamikia mimba za utotoni.

Kama shida ni "cha asubuhi" hata kikombe cha chai ni cha asubuhi pia, japo kinaweza kutumika na jioni pia.
 
Hili tangazo la Tigo 'Cha Asubuhi' linadhihirisha mmomonyoko wa maadili. Serikali ya Rais Samia ilione na kulikemea haraka sana. Tusirasimishe lugha za matusi. Kama serikali ilipiga marufuku matangazo ya Fataki, wimbo Magendaheka kwanini tuendelee kusikia hili tangazo la hovyo?

Say No #ChaAsubuhi.
 
Wazee naona hili tangazo linalalamikiwa sana ilansijui contents zake share jamani
 
Cha asubuhi ni tusi gani ? Kuna vingi tu vya asubuhi mfano : chakula cha asubuhi, kipindi cha redio cha asubuhi.
 
Back
Top Bottom