Je, Hili wimbi la masheikh linalohamasisha kuua watanzania wenzao lishughulikiwe vipi?

Je, Hili wimbi la masheikh linalohamasisha kuua watanzania wenzao lishughulikiwe vipi?

Hili kundi la bakwata kisheria limeshaungana na serikali ya Tanzania katika kuchochea mauaji ya halaiki na ni washirika muhimu wa mauaji hivyo wataunganishwa ICC. Kenge weusi hawana pakutokea
 
Hivi bado mnaona ni mashehe ?..... Hao ni meno wamewalisha maneno kuwaletea ujumbe kipi watawatendea Raia hao.
 
Leo wakati anatoa hotuba kuhusu ile tume yake, nikajua labda pengine kama mkuu wa nchi(kulingana na cheo alichojipa) basi angalau anaweza hata kukemea zile kauli hatarishi na za kuogofya za hao mashekh...

...lakini wala hata hakuwaongelea kabisa, basi na mimi ndio nikajiridhisha kuwa yeye ndio aliyewatuma wala waislam wenzie kuja kutoa vitisho vile.

So ni wazi samiya ameamua kuliingiza taifa kwenye vita ya kidini kati ya waislam na wakatoliki na hajali kuhusu athari zake zinazoweza kutokea kitaifa.

Tunamshukuru sana kwa kulinja vunja hili taifa.
 
Kila siku nasikiaga kuwa uislam ni dini ya khaki, sasa ukiona sheikh anakwepa kutaja hilo neno "khaki" basi ujuwe huyo sio sheikh bali ni shehena za ccm.
 
Mimi ni mkatoliki pure. Wacha inyeshe tuone panapo vuja
 
Leo wakati anatoa hotuba kuhusu ile tume yake, nikajua labda pengine kama mkuu wa nchi(kulingana na cheo alichojipa) basi angalau anaweza hata kukemea zile kauli hatarishi na za kuogofya za hao mashekh...

...lakini wala hata hakuwaongelea kabisa, basi na mimi ndio nikajiridhisha kuwa yeye ndio aliyewatuma wala waislam wenzie kuja kutoa vitisho vile.

So ni wazi samiya ameamua kuliingiza taifa kwenye vita ya kidini kati ya waislam na wakatoliki na hajali kuhusu athari zake zinazoweza kutokea kitaifa.

Tunamshukuru sana kwa kulinja vunja hili taifa.
Huo ndo ukweli
 
Hata waislamu hakuna anayewaunga mkono, ni wapuuzi furani tu waliotumwa, kuleta taharuki nchini, kwa faida ya watawala.
 
Hao mashaikh ni wapuuzi na hawana uezo wa kuchambua mambo nyeti ya kijamii kutokana na kukokosa elimu ya maana. Nchi ikilipuka kwa uchochezi wa matamko yao hawataachwa kushitakiwa kwa kuchochea machafuko. Wanaudhalilisha uislam wao, hawa ni magaidi typically wapingwe ushenzi wao na kila mwananchi mpenda amani
 
1001344889.jpg
 
Kulingana na matamko ya mashekh wanaohamasisha vurugu, uvunjifu wa amani na kutishia usalama wa nchi, nini kifanyike?
Sheria inasemaje? Kwanini vyombo vya dola visiwachukulie hatua za kisheria? Acheni usenge kutuchosha na mauzi ya kidwanzi
 
Nafikiri na wao wameamka baada ya kukaa nyuma Kwa miaka mingi kukosa kujiingiza kwenye siasa kama wenzao wa makanisani wakiguswa interest zao matamko makanisani na kubadili upepo wa nchi sasa na misikiti nao wamechoka kuwa wanyonge Kisha chama tawala nao waamke wawaambie wanachama wao walinde Mali zao maana ndio zinalengwa hatuwezi kiruhusu wahuni wachache waharibu nchi,mfano Kuna yule askofu mwembamba Kila lissu akienda mahakamani yupo na dela kavaa anasahau kupitia interest zake au mahaba na lissu na nafasi yake kidini inaweza kuleta shida sasa tumefika pazuri mashekhe tunawajua hamnaga Cha kupoteza shikilieni hapohapo na vijana wa chama tawala msiruhusu serikali yenu ijenge wahuni wachome moto
 
Kulingana na matamko ya mashekh wanaohamasisha vurugu, uvunjifu wa amani na kutishia usalama wa nchi, nini kifanyike?
Hao mashekh ni wavikundi vya kigaidi vya oman hivyo samia ni mtu wao kwenye ajenda ..
 
Back
Top Bottom