- Source #1
- View Source #1
- Source #2
- View Source #2
Dunia ina heka heka sana wakuu, mbona mim sikuona hii.
- Tunachokijua
- Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumekuwa na kipande cha video kinachodaiwa kuwa ni tukio la kupiga penati ya Afrika Kusini katika mechi iliyochezwa Juni 18, 2026 kati ya timu hiyo na timu ya taifa ya Czechia.
Uhalisia wa video hiyo.
JamiiCheck imefutilia kwa kupitia marejeo ya mechi husika na kubaini kuwa kipande hicho cha video kimeharirirwa kidigitali kutoka kwenye video halisi.
Kwa kutumia nyenzo za kidigitali pamoja na dosari zinazoonekana kwenye Video potoshi inabainisha kuwa imehaririwa ka kutumia teknolojia ya Akili Unde. Miongoni mwa dosari zinazoonekana ni kwa kurejea wakati ambao golikipa wa Czech anaonekana amejirusha kisha anaonekana kuwa na viungo vingi (miguu na mikono) isiyoelewa.