Nguo zinazo chuja rangi tumia sabuni ya kipande badala ya ungaWakuu habari za Wakati huu
Twende kwenye mada
Nilikua nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?
Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Kwenye kupausha?Tumia nice one naona inafanya vizuri
Wakuu habari za Wakati huu
Twende kwenye mada
Nilikua nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?
Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Haipaushi sio kama nyingine.Kwenye kupausha?
Sababu ingine, Epuka kuanika nguo muda mrefu juani, nguo ikishaanza kukauka zihamishie kivuliniWakuu habari za Wakati huu
Twende kwenye mada
Nilikua nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?
Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Omo inanukia vizuri, inatakatisha nguo, haifanyi nguo kufubaa, na pia inafanya nguo inukie vizuriSABUNI ya unga natumia Doffi Ni cheap na nzuri... Ila OMO Ni nzuri zaidi ila Bei kuubww
Doffi nimeshawahi tumia ni nzuri pia na ina nukia vizuri na pia inatakatisha nguoSABUNI ya unga natumia Doffi Ni cheap na nzuri... Ila OMO Ni nzuri zaidi ila Bei kuubww
Kuumbe.. [emoji848][emoji122]Sababu ingine, Epuka kuanika nguo muda mrefu juani, nguo ikishaanza kukauka zihamishie kivulini
Doffi katuokoa wengi.. [emoji3]SABUNI ya unga natumia Doffi Ni cheap na nzuri... Ila OMO Ni nzuri zaidi ila Bei kuubww
Ni bora kwa nguo nyeupe tu... Kwa nguo za rangi huwa ina bleachVipi kuhusu aerial naona ndo bingwa wao hakuna cha omo wala doff
Ndiyo..nguo kukauka juani kuanzia asubuhi mpaka jioni basi jua ufubaza, kwa nguo za rangi nyeusi nakushauri uanike moja kwa moja kimvulini kuzifanya ziwe bora zaidiKuumbe.. [emoji848][emoji122]
napenda vile inanukia na povu lake hatariNi bora kwa nguo nyeupe tu... Kwa nguo za rangi huwa ina bleach