HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Zamani nlikua naangalia Matangazo mtoto kachafua nguo Mama anaweka kwenye maji ya omo.. nakutoa Ina ng'aaa..
Nikawa nafua nguo za mtoto Miaka 6..hivi..kwa omo...AISEE NILIFIKICHA nikasema Kweli Hawa wamatangazo Wana lao jambo
Ohh..Asante mkuu kwa ushauriNdiyo..nguo kukauka juani kuanzia asubuhi mpaka jioni basi jua ufubaza, kwa nguo za rangi nyeusi nakushauri uanike moja kwa moja kimvulini kuzifanya ziwe bora zaidi
Ni kweli hata mimi nimeprove hiloNi bora kwa nguo nyeupe tu... Kwa nguo za rangi huwa ina bleach
Hii ni kampuni gani?Hawa [emoji116][emoji116][emoji116] mungu awabariki japo ni biashara lkn . Nguo hautumii nguvu nyingi kufikicha,haichubui mikono,sabuni kidogo povu lake sasa!!! Huwa nafulia nguo za mtoto hata ziwe chafu kiasi gani zingaa...
Nguo hazichakai kwakua haufikichi sana.....jaribu uone....Sina maslai na kiwanda ni uteja tu umenizidi.View attachment 1666848
Ndio zipo. Zile sabuni ambazo zimezidishwa kiwango Cha caustic soda wakitarajia zing'arishe zaidi kumbe ndo Zina pausha zaidi.Wakuu habari za Wakati huu
Twende kwenye mada
Nilikuwa nahitaji kufahamu kama ni kweli kuna baadhi ya Sabuni za Unga unapozitumia mara kwa mara au zaidi ya mara moja huwa zinapausha Nguo?
Kama ni kweli, Je ni Kampuni ipi ambayo Sabuni zao huwa zina Ubora ambao pia hauna athari kwa mtumiaji.
Erio nguo zina pauka na wakati mwingine mikono huwaka moto baada ya matumizi.Vipi kuhusu aerial naona ndo bingwa wao hakuna cha omo wala doff