Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa ?

Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa ?

Pule

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
378
Reaction score
719
Habari za wakati huu.

Niko na swali Moja la kuuliza nahitaji msaada.Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa Yani hawapati ndoto?

Na kama ni kweli sababu ni nini? Nimejaribu kufuatilia machapisho mbalimbali pasipo kupata majibu.
 
Ndoto husababishwa na shughuli za ubongo wakati wa usingizi,katika awamu ya rapidity eye movement( REM).

Sasa huu mzunguko ukiathirika ni ile mtu anasema hapati ndoto
Vitu vinavyoweza kuathiri ni pamoja na kubadili ratiba ya kulala , vilevi na kahawa , msongo wa mawazo na nk.
 
Exactly 🫡....kingine kuamka Kwa alarm l
 
Kuna mmoja alinambia haoti akaja kunambia kua hakumbuki baada ya kuota mwengine akanambia hakumbuki kwa akili yangu nikaona hakuna asie ota ingawaje inawezekana wakawa wapo
Sidhani kama Kuna mtu hapati ndoto ase
 
Back
Top Bottom